PUTTENY ANTHONY - UNITETEE (Official Music Video) Mp4

Опубликовано: 12 Сентябрь 2026
на канале: Putteny Anthony
50,759
589

#PUTTENYANTHONY #UNITETEEOFFICIALVIDEO #TANZANIA



ukisoma katika kitabu cha zuburi 33:1-2 ndipo utaona ukubwa wamaneno haya Ee Bwana utetenao wanaoteta nami,Upigane nao wanao pigana nami.
nakutaka na nguvu zako BWANA #UNITETEE Teta nawanao teta nami
haya maneno ni makubwa sana kiimani ambapo kuna uhitaji wa nguvu za MUNGU kukutetea katika kila gumu unalopitia nguvu zake MUNGU ZOTE ALIZOKUUMBA WEWE mwanadamu vitu vyote vipatikanavyo ulimwenguni kote ahusike na maisha yako. #UNITETEE #UNITETEE #UNITETEE
KIJANA Wako leo #PUTTENYANTHONY #PUTTENYANTHONY
Nimewaletea wimbo huu wa #UNITETEE Uwe Ulinzi wako.
SONG WRITTER: #PUTTENYANTHONY #SAMMSAUZ
ADRESS:DODOMA TOWN
E-MAIL: [email protected]
CONTACT: 0713618153 0767370060
VIDEO DIRETOR :PASCHAL SAMATWA
GREEN STUDIO PRODUCTION-