Dodoma yazindua jezi mpya za msimu 2024/25...yaeleza maudhui yake

Опубликовано: 13 Октябрь 2024
на канале: Azam TV
795
11

“…tangu msimu umeanza mashabikiwamevaa sare… lakini sasa wamevaa jezi”

Dodoma Jiji FC imetambulisha jezi mpya kwa ajili ya kutumika msimu huu wa 2024/25, afisa habari wake Moses Mpunga achambua maudhui yaliyomo huku akirusha dongo kwa wapinzani wao…..