WOLPER "Naumia UKIMSEMA VIBAYA HARMONIZE/ Naongea na MAMA yake/ PETE FEKI/ Sikulipwa VIZURI"

Опубликовано: 08 Апрель 2026
на канале: Rick Media
81,790
727

Staa wa Filamu @wolperstylish amesema kuwa lile tukio la kuvalishwa pete na @chidy_designs ilikuwa maigizo na hajalipwa vizuri

Wolper amezungumzia pia ukaribu wake na @harmonize_tz ambapo amesema kuwa ukaribu wake na Harmonize unaunganishwa na wazazi na Harmonize huwa anapenda mafanikio yake na kuumia endapo anakwama

Zaidi @wolperstylish amesema kuwa huwa anaumia sana @harmonize_tz akizungumziwa vibaya

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram https://www.instagram.com/rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook   / rickmediatz  
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#WOLPER #HARMONIZE #SARAH