Video hii imetengenezwa kuonyesha baadhi ya Maisha ya wanafunzi vyuoni walioamua kupanga na kutumia vipaji vyao katika kupendezesha chumba/getho Kwa kuhamasisha vijana wengine kuishi hivo bila kujali hali ya kiuchumi nyumbani.
kijana huyu asilimia kubwa ya chumba hicho amekibuni mwenyewe na kutengeneza vitu kadhaa mwenyewe pamoja na ushirikiano wa marafiki zake wa karibu.
Baadhi ya vitu alivotengeneza ni kitanda,kabati,canvas za ukutani,taa na urembo unaonekana katika video.
Nyimbo iliyotumika ni ya msanii kutoka Nigeria Chike-Running to you ft Simi.
follow Him on Instagram @primigemin
follow me @farka_Shwaztyga