🔥 Biti ya Kwaya ya Kisasa | South African Praise Beat 🎶 | instrument by kelcha's music production

Опубликовано: 21 Май 2026
на канале: KELCHA'S MUSIC PRODUCTION
71,416
154

🌟 Karibu Kelcha’s Music Production! 🌟
Hii ni Biti ya Kwaya ya Kisasa yenye energy na vibe ya South African Praise, ikifanana na mtindo wa Aice Kwaya! Ina percussion zenye nguvu, bass inayotikisa, na melody inayoburudisha!

📩 Wasiliana nasi kwa huduma za beats na production:
📞 Airtel: +255 782 526 502
📞 Halotel: +255 624 851 135
📧 Email: [email protected]

🔥 Jiandae kwa uimbaji wa nguvu!
📥 Pakua na utumie kwa nyimbo zako za kwaya!
👇 Comment unataka beats gani zaidi?

#BitiYaKwaya #SouthAfricanPraise #KelchasMusicProduction #GospelBeats #AiceKwaya