Опубликовано: 02 Март 2026 на канале: EastAfricaTV
40,420
385
Baada ya msanii kutoka temeke Young Tuso kumchana Young Killa kuwa ni miyayusho na ni mzinguaji na amekuwa mtu aliyewai kumnyima Colabo, Killa akiongea na Enewz amesema anamshangaa Mfalme wa Temeke ambae hajui kama Temeke kuna Juma Kiroboto