Welcome to our channel, tutakuwa tuna upload videos kila wiki, kwahiyo SUBSCRIBE ili uwe unapata tarifa kila tunapoweka video mpya. Leo natengeneza mandaz na half cake karibuni sana natumaini mta-enjoy.
Unaweza kutu-follow kwenye instagram
Doris: / doris_and_farook
Farook: / farookisonfire