Mnamo mwaka wa 1884, meli ya Uingereza “Rumney” iligongana na meli ya Ufaransa “Frigorifique." Walipoona meli yao ikijaa maji, wahudumu wa meli y Ufaransa walipanda ndani ya “Rumney.” Lakini walipokuwa wakisafiri kuelekea bandarini, umbo la kimya la meli lilitokea kutoka kwenye ukungu - “Frigorifique” iliyoachwa, inaonekana ikirudi kulipiza kisasi. Basi nini kilitokea? Peter B. Campbell anachunguza fenomeni ya kuvutia ya meli za mizimu.
Somo limeandaliwa na Peter B. Campbell, Limeongozwa na Zedem Media.
Angalia nyenzo za masomo: http://ed.ted.com/lessons/are-ghost-s...
Tuchangie kwenye Patreon: http://bit.ly/TEDEdPatreon