Ili kuboresha bidhaa yako ni lazma iwe na muonekano mzuri na wenye kuvutia wateja,
Kati ya vitu vya kuvutia wateja ni pamoja na : muonekano wa bidhaa, kifungashio au stika pamoja na ufungaji au kupakiwaji wake .
Somo ili la jinsi ya kufunga au kupaki sabuni za kuogea na kuweka stika litakusaidia Sana .