Mitindo mizuri ya watoto wakiume 2021

Опубликовано: 11 Июнь 2026
на канале: Fashion Room East
26,395
56

Watoto wetu ni baraka, na kila mmoja anapendaa mtoto wake wapendeze lakini hukosea jinsi yaku wavalisha watoto mitindo ya kisasa ilii wapendeze. Leo naenda kukuonyesha staili mbali zakumetisha mtoto wako wakiume ilii apendeze na kwenda na mitindo yenye kuvutia.

Kwa Video zaidi kuhusu Fashion na Mitindo ya maisha Subscribe kwenye channel hii na gusa kikengele🔔
Bila kusahau kutoa mawazo yako naku share kwa wengine waone.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.



🎵Track info:

Tittle : Life by Markvard
Genre and Mood: Dance and Electronic + Calm