Kuombwa rushwa ya ngono na mwenye kikundi ndio sababu iliyosababisha msanii BATULI kuondoka katika kundi la Kaole. Wapenzi wake wa zamani Mtunisy na Paul Makonda anakwambia hana hata mmoja anayem-miss kati yao. Na maswali mengine kibao, tazama uweze kufurahi