Sam Noel Thank You Mama

Опубликовано: 13 Март 2026
на канале: SAM NOEL OFFICIAL
850
54

WATCH+SHARE+LIKE+COMMENT+SUBSCRIBE
Lyrics By Sam Noel
Nina furaha ya kuwa na wewe mama
Furaha tele ya kuishi na wewe mama
Umenilinda umenilea nakupenda ee mama
Umeniombea umenitunza kiuwema ee mama
Ooh mama mama
Mama yangu wee mama
Ninakupenda ee mama
Umenibeba miezi tisa tumboni siamini
Umeteseka umepitia taabu wee uuu
Ukosefu wa pesa hujakupa nafasi mama u u uu
Nikiwa mgonjwa ndo huyo hospitali mama mbio
Kibarua nacho unakichapa nisife njaa asanti
Masomo nayo mnajaribu ili niende shule
I’m proud of you ooh mama
I cherish you ooh mama
My number one queen mama
My one and only ee mama
Ooh mama mama
Mama yangu ee mama
Mama mama wee mama
Ninakupendaee mama
Kinachofanya nikupende sana sana
Hukufikiria kuitoa mimba yangu
Ukaninyonyesha ukanivisha kila mara
Ukanilisha ukanitunza kiungwana
Ati mwanangu aee kua na heshima aee
Mwanangu wee aee,soma sana aee
Am proud of you ooh mama
I cherish you ooh mama
My number one queen mama
My one and only mama
Ooh mam,mama,mama yangu we mama
Mama mama ee,mama,ninakupenda ee mama
Kwa upole wako kwa upendo wako barikiwa ee
Kwa mawaidha yako kwa maombi yako barikiwa
Kwa kukatiliwa kwako na kila mtu barikiwa ee
Hakuna zawadi inayotosha kusema asanti
Tangu niwe mdogo nimekuudhi hukuchoka
Angekuwa mwingine angenitupa
Kwa ujasiri wako ee ,aae ,umenizaa aee
Kwa mikono yako ee aee, umenilishae
Kwa roho yako nzuri ,aee ,umenirekebisha ee


I’m proud of you ooh
I cherish you oho
My number one queen
My one and only