Опубликовано: 01 Июль 2026 на канале: Ahazi Ngessy
995
72
Ujenzi wa banda ni muhimu sana kuzingatiwa ikiwa mfugaji ana malengo makubwa ya Kubadili ufugaji kuwa Kazi. Kazi inajengwa kwa kujua majukumu yake, na Majukumu yanajengwa ndani ya Ofisi. ofisi ni baNDA. JIFUNZE SIRI YA BANDA BORA.