The Official Audio for 'Nifundishe' performed by Mathias Walichupa and Nicole Ngabo.
Available on all Digital platforms:
https://ffm.to/nifundishe
Watch More Videos: / @mathiaswalichupa
Subscribe to Mathias Walichupa's YouTube Channel
• Mathias Walichupa - Ni Wewe (feat. Godfrey...
• Vedastus & Mathias Walichupa - Bado Nahema...
• Mathias Walichupa - Amen [Official Music V...
• Mathias Walichupa - Nitashinda [Official L...
• Mathias Walichupa - Nitashinda [Official M...
• Mathias Walichupa - Sifa Za Moyo [Official...
• Mathias walichupa - Mtawala [Official Musi...
Follow Mathias Walichupa on All Streaming Platforms: https://linktr.ee/mathiaswalichupa
Follow Mathias Walichupa on socials:
Instagram: / mathiaswalichupa
TikTok: / mathiaswalichupa
Facebook: / mathiaswalichupa95
Twitter (X): / iamwalichupa
For Bookings: WhatsApp/Call +255757255858
Email: @[email protected]
_________
Lyrics:
Ouyeee, uuuh
Nimekukimbilia BWANA, nisiaibike milele
Kwa haki yako uniponye, unitegee, sikio lako
Maneno ya Kinywa changu
Mawazo ya Moyo wangu, BWANA
Na matendo yangu
Yapate kibali kwako, ooh
Unifundishe YESU, zibadili fikra zangu, BWANA
Yale nisoyajua, nijurishe BWANA (ooh, BWANA)
Mmh, BWANA naomba
Nijifunze kwako BWANA (ooh, nijifunze BWANA)
Kwako BWANA (YESU wangu)
Nijifunze kwako BWANA (Wewee)
Kwako BWANA (Maarifa na Hekima)
Nijifunze kwako BWANA (Nijifunze kwako, we BWANA)
Kwako BWANA (kuishi kwa Utakatifu)
Nijifunze kwako BWANA (BWANA YESU)
Kwako BWANA (uuh)
Ooh, YESU wangu
Ooh Halleluya, uuh
Mmmh
Kuishi Nawe ni darasa
Natamani nijifunze siku zote
Ili hatua zangu, zikupendeze BWANA
Wakati wa Vita yangu, ili nisiangamie
Unifundishe kupigana
Niwe shujaa ah, kama Wewe
Mmh, unifundishe YESU
Zibadili fikra zangu-iee
Yale nisiyoyajua, nijurishe BWANA, ooh
BWANA naomba
Nijifunze kwako BWANA (nakuomba YESU)
Kwako BWANA (eh Baba, Haja ya Moyo wangu)
Nijifunze kwako BWANA (ooh, BWANA)
Kwako BWANA (ooh, Enseigne moi s'il te plaît)
Nijifunze kwako BWANA (Nijifunze kwako YESU)
Kwako BWANA (nikufanane)
Nijifunze kwako BWANA (ooh, BWANA)
Kwako BWANA
#mathiaswalichupa #nicoleNgabo #gospel
Copyright ©2024 Mathias Walichupa. All rights reserved