Zuchu Ft. Diamond Platnumz - Inama (Lyrics)

Опубликовано: 11 Июнь 2026
на канале: The Lyrics Home
475,725
1.9k

Inama lyrics - Zuchu & Diamond Platnumz
Stream/Download:

(Verse 1)
Waiteni wambea, wa kusini na mashariki
Waje kuona, bado niko nawee
Waliongea, eti mbali si hatufiki
Ikiwachoma, wakameze mawe
Kwako chongo (chongo) mi naona kengezaa
Yaani uhondo, unavyonikoleza
Wanatapika nyongo penzi hawajaliweza
Nakusifu kibongo, nakusifu kingereza
Muchuchu muchuchu
Shweet shweet banana
Punga mkono juu, nakuomba baby simama
Leo yako sikukuu, nikupakulie minyama
Upite na huku, wasokupenda uwakere sana

Uniijie kwa mbwembwe, unainama
Waonyeshe
Unainuku, (mama) unsigusa
Afu kama unashuka
Niongezze na njonjo, unainama ah! Madegezyee
Unainuka, (ai we we we) unsigusa (acha)
Afu kama unashuka

Oh baby a e i, malizia u
Eh mwenzio kwa we mi, boya tu
I know you love me, i love you too
Nsipo kuana Ta Te Ti presha juu
Nimegundua kwanina wananuma
Ma ex zako, nakunichukia
Maana unajua, wapi pa kukuna
Kwa kazi yako, unsipatia

Muchuchu muchuchu
Shweet shweet banana
Punga mkono juu, nakuomba baby simama
Leo yako sikukuu, nikupakulie minyama
EBU njoo.. kwa huku, ringa jishave bana
Tena ntilie mimbwembwe
Unainama, eh nikomesha unainuku (mama)
Unaigusa, afu kama unaishuka
Niongezee na njonjo, unainama ah madegezyeee
Unanuku, Ai we we we unaigusa(acha)
Afu kama unaishuka

Tags;
Zuchu songs
Zuchu new song
Zuchu songs 2025
Inama ft Diamond Platnumz
Diamond Platnumz ft Zuchu
Inama lyrics Zuchu
Zuchu Inama lyrics ft Diamond Platnumz
Diamond Platnumz new song
Diamond Platnumz
Zuchu
Inama by Zuchu
Inama by Zuchu, Diamond Platnumz
Diamond Platnumz songs 2025

#Zuchu #Inama #lyrics #Music #DiamondPlatnumz #wasafi