TANZANIA WUSHU ASSOCIATION INAKUKARIBISHA KATIKA MASHINDANO YA WUSHU YA KIMATAIFA.

Опубликовано: 16 Октябрь 2024
на канале: Master Mfaume
59
2

DescriptionChama cha mchezo wa Wushu Tanzania (TWA) kinawakaribisha watanzania wote rika na jinsia zote katika mashindano ya wushu ya kimataifa yatakayofanyika tarehe 17 na 18/09/2017, ndani ya uwanja wa taifa wandani.