Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Dodoma,DOMECO,Shahibu Mwanga amepokea uzinduzi wa tawi dogo la Msaada wa jamii,Red Cross(msalaba mwekundu) chuoni hapo lengo likiwa kuwafanya wanafunzi kushiriki katika mambo ya kijamii kwa kujitolea zaidi.
Amesema hayo chuoni hapo leo katika uzinduzi huo....
#savptv
#savpupdate
#savpmedia
#dodomamedia
#redcrosssociety
#msalabamwekundu
#redcross