Habari zenu , Leo nitakuonyesha jinis gani unaweza kuformat flash disk yako njia sahihi ya kufuta vitu vyote kwenye flash disk yako . Hakuna mtu anaweza kuviona vitu vyako baada ya kuformat kwa njia sahihi .
Kama unamaswali yako tafadhali weka comment yako hapo .