HYMN
Mvua inarutubisha vitu vyote,
Mvua inarutubisha vitu vyotehe! he! he! he! he! ( vitu vyote )he! he! he! he! he! vitu vyo-te }x2
Mimea inastawi kwa kupata mvua,{ Na-si, binadamu tunakula na kushiba,Mile-le, binadamu tunakula na kushibakwa uweza wa Mungu } *2
1)Tunapata mazao mengi kutokana na mvua,
Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu.
2)Tunapata chakula kingi kutokana na mvua,
Tunakula na kushiba kwa uwezo wa Mungu.
3) Tunapumua na kusema kwa uwezo wa Mungu,
Tunaimba na kucheza kwa uwezo wa Mungu.