Ubatizo ni kati ya mafundisho yaliyopelekea kuzaliwa kwa madhehebu mapya ndani ya dini ya Kikristo. Lakini ukweli ni kwamba katika ubatizo maji ni ishara ya kile kinachotarajiwa kutokea katika utu wa ndani wa mtu ambacho ni UTAKASO.
Na neno la Mungu ndio hiyo nguvu ya utakaso inayo sababisha mabadiliko ndani ya mtu anaye batizwa au zaliwa mara ya pili.
Karibu usikilize somo hili japo kwa kifupi.
Usisahau ku-subscribe, ku-follow, ku-like, comment na kushare habari hizi.
Instagram: Rev. Gwakisa Mwaipopo
YouTube: Gwakisa Mwaipopo
Podcast: Voice of Hope
Kwa Maoni na Ushauri tuma sms kupitia Namba: +255 0757 134 807