Vikesho - Mtoto Wa Sobea (Official Visuals)

Опубликовано: 08 Сентябрь 2026
на канале: Vikesho
80
6

Music that encourages patience and understanding in relationships.
#afrobeat #kenyanmusic #bongoflava #kambamusic #vikesho

Written & performed by @Vikesho
🎹 Ondikobeats
📌resoundzmedia



[LYRICS]

vikesho...
mtoto wa sobea...

haijalishi unaongeaga na mami
koma kusema utarudi kuishi kwangu
ulitaka pesa, uh wakati sina
ukatamani sifa
siungengoja ifike kama leo
unisikize kwenye redio
tena ulivyopenda muziki
na kucheza kwa kuringaringa
nakukumbuka

mtoto wa sobea
ulipo tu amka cheza
salamu zangu pokea
tutakutana mamake Trizah
laalalalala

wendie mbesa tene yila nyie ndainasyo
wendo wakwa walea watesa ngoo yakwa
waleile undavya ngamanya aki wendi waku
ketha wendaa nguma tisu nakwa ndyoneka
ndukone ta ngulea
ninaye mapenzi amekoleza
salamu zangu pokea
tutakutana mamake triza

mtoto wa sobea
ulipo tu amka cheza
salamu zangu pokea
tutakutana mamake Trizah
laalalalala

si ukumbuke nilipokuja sobea
mbele ya mamako ukasema niachane nawe
ninakwendete ndumanyae anita nimo
wendo watumie nuka kwenyu ku Nakuru
uvumilivu peke yake ndio ulikosa
laiti ungejua ya baadaye
ungengoja ifike kama leo
unisikize kwenye redio
tena ulivyopenda muziki
na kucheza kwa kuringaringa
nakukumbuka

mtoto wa sobea
ulipo tu amka cheza
salamu zangu pokea
tutakutana mamake Trizah

mtoto wa sobea
ulipo tu amka cheza
salamu zangu pokea
tutakutana mamake triza
laalalalala