Kama Nyimbo ya "Ameniona" ingekuwa #soundtrack kwenye #gameofthrones hivi ndivyo ingesound.
LYRICS
Ameniona Yesu,Ameniona YesuAmeniona Ameniona Yesu,ameniona YesuAmeniona Ameniona Yesu,Ameniona YesuAmeniona Ameniona Yesu,ameniona Yesuameniona
Ameniona ameniona amenionaKulia kwangu ewe Kuombboleza kwangu ameniona amenionaAmeniona ameniona amenionaKufunga kwangu Kuombboleza kwangu ameniona ameniona
Ameniona ameniona amenionaAmeniona ameniona amenionaAmeniona ameniona amenionaAmeniona ameniona ameniona
Nimelia asubuhi,mchana na Jioni Sikujua kama Bwana ananisikia Nikaomba nikafunga nikakatamalewa Ameniona ameniona
Kuomba kwangu kulalamika kwangu Ameniona amenionaUmasikini wangu,utajiri wangu Ameniona ameniona
Ameniona ameniona amenionaAmeniona ameniona amenionaAmeniona ameniona amenionaAmeniona ameniona ameniona
Tunaimba sifa zake,tunasifu jina lakeTwatukuza nguvu zake ameniona amenionaTunaimba sifa zake,tunasifu jina lakeTwatukuza nguvu zake ameniona ameniona