Ulfat Abdullaziz IBRAHIM ni mhadhiri msaidizi katika Chuo Kikuu cha Sumait, Zanzibar na mwanafunzi wa Uzamifu katika Chuo Kikuu cha Dodoma. Ulfat atakuwa Chuo Kikuu cha Moi, Bewa la Coast, mjini Mombasa ambako atajishughulisha na masuala ya maendeleo na matumizi ya Kiswahili.