Taboo (2020)| A drama short film

Опубликовано: 27 Июнь 2026
на канале: The Travelers
456
16

Our fathers have so much to teach us not to take from us, this film is about a father wanting to marry her in law after divorcing more than 3 wives. His son caught him trying to convince his girlfriend which left them in no good terms.

Baba zetu wanayo mengi sana ya kutufundisha na sio kutunyang’anya, filamu hii inamuhusu baba aliye ingiwa na tamaa na kutaka kumuoa mpenzi wa kijana wake pamoja na kwamba alikuwa ametambulishwa tayari. Baba ameachana na wake zake watatu kwa sababu alizo sababisha yeye mwemyewe kwa tamaa zake na matendo yake maovu, kijana wake anamsikia na kusikia kwake kunawaacha wakiwa hawapo sawa...

Endelea.....