✔Shrimp bites/Vitafunwa vya kamba from Aroma Of Zanzibar
Kiswahili: • VITAFUNIO VYA KAMBA ( SHRIMP BITES) R...
English: • SHRIMP BITES ( RAMADHAN COLLABORATION )
✔Potatoes bajia/Badia za viazi from Farhat Yummy
Kiswahili: • Jinsi Ya Kupika Bajia Za Viazi Rahisi...
English: • How To Make Quick And Delicious Potat...
___________________________
✔ingredients
1/2 kg minced chicken
1 large onion
mixed papers
1 tbsp curry powder
1-2 tbsp cumin powder
1 tbsp black pepper powder + coriander seeds
1 egg yolk
1 tbsp garlic and ginger paste
1/2 cup coriander leaves
1/4 cup all purpose flour (plus more when needed)
1 tbsp corn flour
chilli powder
salt to taste
For coating we need
1 cup breadcrumbs
2 eggs for
oil for frying
_______________
✔Mahitaji
nyama ya kuku alosagwa nusu kg
kitunguu maji 1
pilipili hoho kiasi
curry powder kjk 1
bizari nyembamba kjk 1 mpaka 2
pilipili manga na giligilani ya unga kjk 1
kitunguu saum tangawizi kjk 1
kiini cha yai 1
majani ya coriander nusu kikombe
unga wa ngano robo kikombe (na zaidi ukihitajika)
corn flour (unga wa mahindi mwepesi sana) kjk 1
pilipili ya kuwasha ukipenda
chumvi kiasi
Pia tutahitaji
chenga za mkate kikombe 1
mayai 2
mafuta ya kuchomea
_____________________________
✔Shuna's Kitchen
__________________________
For more updates please join my social media family ❤
✔instagram: @jifunze_mapishi 👉 / jifunze_mapishi
✔Facebook jifunze mapishi 👉 / shunaskitchen
__________________________________________
✔For business enquiry only : [email protected]
__________________________________________
✔More videos to watch - Shuna's Kitchen
katlesi za nyama/Mince potato chop: • Katlesi za nyama - Mince potato chops
katlesi za samaki/Potatoe and tuna kebab: • Katlesi za nyama - Mince potato chops
kachori/Potato balls: • Kachori za viazi - Potato balls
Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia sambusa/Homemade samosa wrapper: • Jinsi ya kutengeneza manda/kaki za sa...
Jinsi ya kutengeneza manda za kufungia spring rolls/Homemade spring rolls wrapper: • Jinsi ya kutengeneza manda za kufungi...
Jinsi ya kutengeneza sambusa za viazi/Vegetables samosas: • Sambusa za viazi kwa kutumia kaki za ...
Jinsi ya kutengeneza mikate ya mofa/Muufo bread: • Mikate ya mofa - Muufo bread
Jinsi ya kupika mikate ya ufuta/Sesame bread: • Mikate ya ufuta - Sesame bread
Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka bila kukanda unga sana/No knead soft chapatis: • Jinsi ya kupika chapati laini sana na...
Vipopoo vya nazi/Mini sweet dumplings in coconut cream: • Vipopoo/Vitobwesha - Mini sweet dumpl...
Jinsi ya kuandaa shawarma ya kuku/Chicken shawarma: • Jinsi ya kuandaa shawarma tamu kuanzi...
Jinsi ya kupika maandazi ya iliki malaini/Cardamom fried bread: • Jinsi ya kupika maandazi/mahamri lain...
Rolls za chapati na kuku/Chicken Chapati rolls: • Chicken Chapati Rolls - Shuna's kitchen
Jinsi ya kupika fish sticks/Fish stick kebabs : • Fish sticks - Tuna sticks kebab
Jinsi ya kutengeneza masala ya chai/Tea masala powder: • Jinsi ya kutengeneza masala ya chai /...
Banzi za samaki na cheese/Tuna and cheese buns: • Jinsi ya kupika banzi za samaki laini...
Mchuzi wa nazi wa kuku/Chicken breast in coconut milk: • Mchuzi wa nazi wa kuku - Chicken brea...
Kuku wa sekela/ Sekela grilled chicken: • Kuku wa Sekela - Sekela Chicken
Maandazi ha ufuta/Sesame fried bread: • Maandazi/Mahamri ya ufuta / Sesame m...
Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga wa mchele/ Rice flour mini cakes: • Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga ...
Jinsi ya kupika jicho la mke mwenza/Egg tuna kebab: • Mapishi ya vitumbua kwa kutumia unga ...
Viazi karai/Spicy fried potatoes: • Viazi karai - Spicy fried potatoes
Muhogo wa nazi na samaki/Cassava in coconut cream: • Muhogo wa nazi - Cassava in coconut c...
Uji wa shurba/Shourba/Oats and meat soup: • Uji wa shurba - Oats and meat soup / ...
Maharage ya nazi/Red kidneys beans in coconut milk: • Jinsi ya kupika maharage ya nazi mazi...
Uji wa ngano nzima:Whole wheat porridge: • Uji wa ngano - Whole wheat & oats por...
Mishkaki ya nyama/lamb skewers: • Video
Vibibi vya tui juu/Pancakes with coconut sauce: • Vibibi vya tui juu / rice pancakes wi...
Jinsi ya kupika pilipili ya kukaanga/Hot chilli paste : • Jinsi ya kupika pilipili ya kukaanga
Chicken pockets: • Chicken pockets - Pockets za kuku (Co...
Jinsi ya kupika mikate ya bwana/Baked sesame bread: • Mikate ya bwana
#chickendoughnuts donasizakuku #shunaskitchen