Riziki JACOB ni mwanahabari wa Kiswahili kwenye kituo cha Radio Eagle kilichoko Makamba, Burundi. Riziki amejiunga na Shirika la Utangazaji la Uganda (Uganda Broadcasting Corporation – UBC) kwa muda wa mwezi mmoja kwa lengo la kushiriki katika shughuli za maandalizi ya habari za Kiswahili