ACT Wazalendo wametoa wapi fedha za uchaguzi mwaka huu? Watashughulikia vipi tatizo la ajira kwa vijana? kwanini watu wanawaita CCM B? Katiba ipi wanaiunga mkono ya warioba au katiba pendekezwa...Kwanini ajira sio kipaumbele chao?...Tazama video Katibu Mkuu ACT Wazalendo anajibu maswali haya akiwa #KIKAANGONI