Bony Mwaitege - '' Kazi ya Mungu (Official Music Video)

Опубликовано: 05 Июль 2026
на канале: Bony Mwaitege Official
216,296
1.5k

Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.

Bony Mwaitege - '' Kazi ya Mungu
MUNGU AKUBARIKI SANA.