Hi Ni katika SHULE ya MSINGI kikuyu DODOMA Ambapo ephas foundation kwa kushilikiana na wadau wengine was afya kiwemo dispensary ya kikuyu walitoa elimu ya afya ya uzazi wakilenga kutokomeza mimba za utotoni pia KUHAKIKISHA VIJANA wanatambua umuhimu wa ELIMU