NDOA YANGU NA SHETANI - PART 03 [ MWISHO ]

Опубликовано: 14 Сентябрь 2026
на канале: Ankojay Simulizi
38,548
829

Mwisho kabisa namalizia kwa kusema: Jana umeishaipoteza basi itumie leo kwa ajili ya kuiandaa kesho yako ambayo hakuna aliyewahi kufika. Usikubali kusema utafanya kesho hiyo ni sauti ya shetani ili uihalibu leo yako. Hakuna Mungu mwingine zaidi ya yule aliyeumba Mbingu na nchi mtegemee kwa kila kitu. Asante kwa kunisikiliza