Tiba Asilia ya Fangasi wa Maji Maji | Dawa ya Haraka kwa Wanaume na Wanawake!"

Опубликовано: 15 Май 2026
на канале: stani Asili
1,126
5

Fangasi wa maji maji huathiri watu wa jinsia zote – wanaume na wanawake. Katika video hii, utajifunza tiba asilia kwa kutumia asali, aloe vera, na mafuta ya nazi (coconut oil). Njia hizi ni salama, rahisi na zimewasaidia wengi kupona kabisa.

Tazama video hadi mwisho ujue hatua sahihi za kutumia dawa hizi za asili!

#StaniTiba #Fangasi #TibaAsilia #AfyaYako