Yafahamu makundi manne ya tabia za binadamu Kisaikolojia - 3

Опубликовано: 03 Май 2026
на канале: Simulizi NaSauti
9,871
57

Mwanasaikolojia wetu, Jackson anatuletea elimu kuhusiana na makundi manne ya tabia za binadamu Kisaikolojia. Kwenye episode hii anaelezea kundi la TATU. Jackson ni mshauri wa masuala ya uhusiano na ndoa. Unaweza kufuata akaunti yake ya Instagram: @love_clinic_aristotle