Rais Kenyatta atuma rambirambi zake Uingereza

Опубликовано: 28 Сентябрь 2024
на канале: Citizen TV Kenya
2,793
24

Kifo cha malkia elizabeth sasa kimempa nafasi aliyekuwa mwanamfalme Charles kuwa mfamle charles wa tatu ambaye ataongoza mataifa 14 ya yakiwemo canada na australia. kadhalika atakuwa kiongozi wa mataifa 56 ya jumuiya ya madola.
run vcr natS
Mwili wa malkia utaondolewa kwenye kasri ya balmore huko scottland na kusafirishwa hadi katika kasri ya burkingham uingereza ambapo kutakuwa na maombolezo ya siku kumi na nne. katika kipindi hicho, bendera zitakuwa nusu mlingoti ila bendera ya ufalme itasalia ilivyo kwasababu charles tayari amechukua nafasi iliyoachwa na mamake na hakuna pengo. wananchi watapata nafasi ya kutoa rambirambi katika kasri ya burkingham.Mizinga italipuliwa kila mara kuashiria mika aliyoishi malkia elizabeth, ikiwa ni miaka 96.