Опубликовано: 13 Март 2026 на канале: EastAfricaTV
13,308
27
Mh. Ester Bulaya anakwambia kituko ambacho hatokisahau bungeni ni jinsi baadhi ya Wabunge wa chama cha CCM walivyotaka kuonesha eti kuwa ESCROW sio fedha za wananchi wakati ni fedha za wananchi. Kafunguka mengi zaidi. Tazama video