PUPA

Опубликовано: 16 Май 2026
на канале: Simon Maina HSC
6,886
62

Hadithi ya Mwakuona.
Huyu ni msichana ambaye anatoka kwa familia maskini, na kutokana na pupa yake, anaingia kwenye mtego wa Bi Mtego. Mwakuona anadhani kuwa Bi Mtego angefadhili elimu yake na kumpa kazi, ila hakujua kuwa angepelekwa kwa danguro la Chengaways ambako anafanyishwa kazi ya ukahaba. Mwakuona pamoja na rafikiye wanafanya mpango wa kutoroka. Je, watafanikiwa?
Baadhi ya maudhui yanayojitokeza ni pamoja na:
1. Umaskini
2. Matumaini
3. Nafasi ya Mwanamke katika Jamii
4. Elimu
5. Ukatili
6. Ukiukaji wa haki
7. Kutowajibika
8. Utepetevu
9. Ukahaba
10. Bidii, na kadhalika.