Ngeli ya Ki __ Vi. ( Ambacho na Ambavyo )

Опубликовано: 19 Октябрь 2024
на канале: Aamin Barre
168
13

Ngeli ya Ki _ Vi.
21/10/2021.
Ambacho na Ambavyo

mifano.

Ambacho.

1) Kiti ambacho kimevunjika,
kilitengenezwa.
2) Kisu ambacho kilimchinjwa
mbuzi kilikuwa kali sana.
3) Kitunguu ambacho
kilinunuliwa jana, kimeoza.

ambavyo.

a) Vitanda ambavyo viliuzwa,
vimerudishwa.
b) Vyakula ambavyo vilipikwa
vimeharibika.
c) Vitu ambavyo vililetwa
kwangu, viliibiwa na mwizi