KenGen yasema kiwango cha maji katika bwawa la Masinga ni kidogo

Опубликовано: 29 Сентябрь 2024
на канале: Citizen TV Kenya
5,571
33

Viwango vya chini vya maji vinashuhudiwa katika bwawa la Masinga licha ya mvua nyingi inayoendelea kunyesha kote nchini. Viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme KenGen wamepuuzilia mbali madai kuwa bwawa hilo linasababisha mafuriko wakisema kuwa halitajaa hadi mwezi Aprili mwaka ujao