Kwa "NENO" Mungu aliumba dunia na kila kilicho ndani yake. Kwa "NENO" Mungu alituumba mimi na wewe na hata baraka na mafanikio ya mwanadamu yamefichwa katika "NENO" (Maandiko).
"NENO" ni wimbo uliofanywa Ivan kwa kushirikiana na Vaddy. Wimbo huu uliobeba maudhui yenye kufungua fikra ya yule anayesikiliza kujifunza kuhusu ukuu wa Mungu na siri iliyojificha katika "NENO". Ivan anatamani kila mtu asikie sauti hii ili kila anayesikia apate Tumaini jipya na faraja katika changamoto zake anazopitia.
Like / Comment / Subscribe/ Share neno hili na rafiki yako ili kusambaza Tumaini jema kutoka kwa Mungu kupitia neno lake.
Producer :#NMS & #MAFEELING
Director: VISIOR MUFASA
D.O.P: Elly yd
Booking/Contact +255787562355
Connect with Ivan in Social Media
Instagram: director_ivantz
Facebook : Ivani tallent
Twitter: director_ivantz
TikTok :director_ivan1
YouTube DIRECTOR IVAN