BREAKING NEWS: NANDY AVALISHWA PETE YA UCHUMBA STEJINI NA BILLNAS

Опубликовано: 16 Июль 2026
на канале: Jamvi Online TV
133,931
595

DON'T MISS "VITUKO VYA MORRISON NJE YA UWANJA NA NDANI YA UWANJA"
   • Video   -~-
#jamvionlinetv

BREAKING NEWS: NANDY AVALISHWA PETE YA UCHUMBA STEJINI NA BILLNAS

Msanii wa Bongoflava Nandy jana usiku wakati akifanya live ya kipindi kipya kinachoitwa Homa cha televisheni ya Etv alifanyiwa surprise na mpenzi wake ambaye pia ni mwimbaji anayeitwa kwa jina la kisanii Biilnasna kuvalishwa pete jukwaani.

Mashabiki waliokuwa wanashuhudia shoo hiyo walifanikiwa kupata picha jongefu za tukio hilo na kututumia Jamvi online Tv ili kushare na dunia jinsi hali ilivyokuwa.

Source: ETV Tanzania