Ching Ri Lyrics
Intro
(Aki ruthless si mkam mturiet yeah yeah
Ruthless gang gang,odi wa muranga)
Chorus
Ninayo nganji naleta nare seti ma
Seti za ras za karo ama wanyina
unipate dando kayole ama mathare
nikiziriet tu kapuum na gathokia ah,
Ka ni ma chingri utazipatanga ndani nda(ndani nda)
Nipate niki sanif mangwelo ah
(Seti za ras za caro ama wanyina)×2
TOUPH LIPS
Juu niko bash na bado niko sober na
Kuna mashash madem wana ngotha na
Nina kaflash ina nopo ya pogda
Kukumanga leo wote watangongwa
Hii paka leo inapatwa na puppy (na puppy)
Hii kitu leo inacheza ndaki (ndaki)
Ka ni kutu leo basi italandi (italandi)
Haga pigi zinarombosa kwa party (yoh)
VIBERANT
teke jimenchu na majale za jivenchi
leta hiyo paka hapa ni icheze kama mechi
Vibe ikukubali n collabo na kelechi
Ah nko bukla na nyagu najibonda managu
Luckily kanapenda chingri (chingri)
Sekete mastingo ka za jetli (jetli)
Desighn kanapewa desighn kanalewa
Ntakabeba tu kakiwa kako tips
CHORUS
Ninayo nganji naleta nare seti ma
Seti za ras za karo ama wanyina
unipate dando kayole ama mathare
nikiziriet tu kapuum na gathokia ah,
Ka ni ma chingri utazipatanga ndani nda(ndani nda)
Nipate niki sanif mangwelo ah
(Seti za ras za caro ama wanyina)×2
ODI WA MURANGA
Kwani babako n pedi manze unachomaa
Hushuki nywele unakaa sauti soul suzzana
Hupiki keja unapenda kwa mathe sana
Hupigi nduru lkni una umathe sana
N vilipuzi tunaset songa kando na
Bila ujuzi ndani ya set n monotonous
Hapa ujuaji kibare na né őğòtumia
Ukikosa kinare akia na itina
Dj ngesto
Ai ai kwani niko wapi
Khai khai hawa n akina nani
Bana kichwa yangu imejaa mashada chingri zikishika mi hukuanga fty
Na pia miukuanga physically fity
Spendi local mi hupenda sshsh shash
Na watoto wanapenda bash
Na lakisha akidai ntaagiza
chorus
Ninayo nganji naleta nare seti ma
Seti za ras za karo ama wanyina
unipate dando kayole ama mathare
nikiziriet tu kapuum na gathokia ah,
Ka ni ma chingri utazipatanga ndani nda(ndani nda)
Nipate niki sanif mangwelo ah
(Seti za ras za caro ama wanyina)×2
MAKAVELI
nmemedi tu kejani nikuseti tu mamgwai
Kadem kakam kakaspin adi ngyai
M si mkisii nawai hyo ndizi
Life yangu na machingri ijawai kua easy
Kuna mashash zinawashwa mahali yoh
Kuna ma ass zinatingizwa uko ndaki yoh
Kuna waras wanalipua mavissible ai yoh
Chorus
Ninayo nganji naleta nare seti ma
Seti za ras za karo ama wanyina
unipate dando kayole ama mathare
nikiziriet tu kapuum na gathokia ah,
Ka ni ma chingri utazipatanga ndani nda(ndani nda)
Nipate niki sanif mangwelo ah
(Seti za ras za caro ama wanyina)×2
AUDIO: Bamming Studios
AUDIO PRODUCER: Byron lertrupers
Graphics By: Ramihgraphics
Graphics Designer: Vydia
DIRECTED BY:Jay Kihiko
EXECUTIVE PRODUCER: Kelly walter
SPONSORED BY: Kelly Walter TV
IN GOD WE TRUST...