Kiukweli katika maisha kuna mambo ambayo wakati mwingine ukikumbuka unabaki kulia. au kusikitika tu. Kipindi cha Dkt Magufuli ambaye alikuwa Rais wa awamu ya tano TZ kwa kweli tutamkumbuka kwa mazuri kama alivyosema.
Eeeeh Mungu tupe uvumilivu na kujali wengine pia.