Yesu kanikuta jangwani

Опубликовано: 06 Август 2026
на канале: Chuka University Chaplaincy Choir
3,558
84

Yesu Kanikuta Jangwani Lyrics
Yesu kanikuta jangwani, akaniambia, nenda huko YerusalemeYesu kanikuta gizani, akasema, kimbilia Yerusaleme

Mimi ni kipofu ni mauti (mimi ni mauti)Mimi ni kipofu sioni (mimi sioni){ Kulikuwa giza, kukapambazukaNikamwona Bwana Bwana wangu }*2

Natamani mji ule, Yerusaleme kuna nuru kuna rahaDhambi zangu matendo yangu, ni maovu, tazameni msalabani

Upindo wa nguo (nguo yako safi)Upindo wa nguo (nguo yako nzuri){ Uniguse moyo, moyoni mwanguNitaimba sifa sifa zako } *2