TAZAMA MAUNO YA HAMISA MOBETTO YALIVYOMPAGAWISHA ADAM MCHOMVU, "MWIJAKU AIBUKA STUDIO"

Опубликовано: 21 Октябрь 2024
на канале: Millard Ayo
1,670,056
4.3k

Ni Mrembo Hamisa Mobetto ambae leo wimbo wake uitwao EX ulipata nafasi ya kuwa Jiwe la Wiki katika kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Sasa hapa nimekusogezea ushuhudie vibe la Hamisa Mobetto akicheza na Mtangazaji Adam Mchomvu.