Mashine Automatic ya kunawia mikono ( Allen Pro Lite)

Опубликовано: 16 Июль 2026
на канале: Tunu Ngajilo
33
1

Weka Oda yako sasa, tembelea online sto yetu : https://stooyangu.com/product_view_fr...

Mashine hii inatumia vitambuzi( sensor) kuweza kutoa sabuni na kisha kufungua maji kwa ajili ya kunawa.
Mashine hii haiitaji ukanyage kwa mguu kwa hivyo hata walemavu wa miguu wanaweza itumia bila shida.
Na mashine inatumia umeme kiasi kidogo sana kutoka kwenye solar na battery yake ndogo.
Kwa mahitaji ya mashine wasiliana nami, tunatengeneza kwa bei nafuu na kwa idadi yoyote ile inayo hitajika.
Kwa taarifa zaidi
Call/Whatsapp: (+255) 753 123 262
Instagram:   / tunuyolimngajilo  
https://yolim.xyz
Arusha/Tanzania.


Graphics animation kazi na Nien Production
Instagram:   / nienproduction