SHIDA-Sehemu ya 1

Опубликовано: 25 Август 2026
на канале: tuos TV
873
32

Mwanamke ni jeshi kubwa,yeye ni chanzo amani na mlezi wa kwanza na pia ni Darubini inayoona mbali, lakini kwenye tamthiliya hii ya SHIDA, imekuwa tofauti kwa binti mdogo Elina ambaye ameolewa akiwa na umri mdogo kisha kutelekezwa na mwanaume wake, hivyo anapambana kuitengeneza kesho yake, kwenye mapambano hayo Elina anapitia maswahibu makubwa lakini anajitahidi kuonesha kuwa mwanamke ni Taifa Hai, haijalishi mangapi anapitia