Waziri Lukuvi sasa kumaliza mgogoro wa shamba la Sumaye Mabwepande

Опубликовано: 13 Октябрь 2024
на канале: Millard Ayo
5,790
22

Uongozi wa Mkoa wa DSM na Wilaya ya K'ndoni umemuomba Waziri wa ardhi, William Lukuvi kufika kwa ajili kumaliza mgogoro wa eneo la shamba linalomilikiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye lililopo Mabwepande Dar es Salaam ambapo inadaiwa wananchi walilivamia baada ya kuona haliendelezwi kwa muda mrefu na kuweka makazi katika shamba hilo lenye hekari 33.