Decoding EEPROM & FLASH DATA coded lines

Опубликовано: 16 Апрель 2026
на канале: 5021tips
975
like

Kwanza http://www.5021.tips/ujanja/eepromwork tuliekezana amost kila kushu #EEPROM!

Ujanja katika programu hii, ni kwamba unaweza kufungua na kulinganisha hizo binary faili tofauti tofauti, kwa pamoja, na ukaoneshwa utofauti uko wapi!

#HapaUjanjaTu, ina maana kama kuna mtu umemutumia faili na akafanya kazi fulani na akakuficha bila kuambia, hii programu itakupa umbea wote! Infact ata hizo software zenye #5021tips lakini zinokuomba data ili zikufanie kazi fulani, kiisha zinakupa data tofauti baada kuzifania kazi, ukilinganisha data kabla na baada, utajua niaje!

http://www.5021.tips/ujanja/datalines ni kwenye hii programu iliopo!