Use Prophylactic Steno To Maps with WinOLS (dim ECU parameters)

Опубликовано: 11 Июль 2026
на канале: 5021tips
39
like

#WinOLS ni programu yenye uchawi wa kuwezesha kubadilisha, kurekebisha data iliyomo kwenye kumbukumbu ya ECUs.

https://www.5021.tips/ujanja/winols

Ina maana unaeza kutoa/kuzima hizo mifumo zenye usumbufu kwenye gari, zikiwemo IMMOBILISER (kufanya immo off). kutoa DPF, EGR, ADblue, kubadili TURBO zenye umeme, yaaani inafanya kazi nyingi kama ECU tuning, uamuzi ni wako tu!

Tumekuwekea hapa👇 zaidi ya #5021tips ujanja wa namna ya matumizi, kufanya kila aina ya uchawi ukiwa na hiyo program!
#HAPAUJANJAtu👇 #ECUprogramming

https://www.5021.tips/ujanja/winols