JINSI YA KUTENGENEZA CLOSURE KUTUMIA NYWELE ZA KUSUKIA RASTA. KUTENGENEZA CLOSURE YA WIGI.

Опубликовано: 17 Август 2026
на канале: Glow Charls
7,864
71

Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi.
JINSI YA KUTENGENEZA CLOSURE
Nadhani wengi wenu mtaipenda.
Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangalia.

Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini


Nifollow katika mitandao mingine

Instagram: @glow_ch1
Tik tok: glow_ch


Product nilizotumia
SWISS LACE
dummy head:
VENTILATING PIN: https://s.click.aliexpress.com/e/_mMK...
expression hair

Labda kuna mtu atataka kujua:

Camera ninayotumia : Canon 80D
Software ya kueditia video : imovie
Taa ninayo tumia : Ring light
Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs



Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: [email protected]


Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe.

Wenu,
Gloria