Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi.
KUFANYA FULL FACE MAKEUP
Nadhani wengi wenu mtaipenda.
Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangalia.
Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini
Nifollow katika mitandao mingine
Instagram: @glow_ch1
Tik tok: glow_ch
Product nilizotumia
--------------------------------------------
Labda kuna mtu atataka kujua:
Camera ninayotumia : Canon 80D
Software ya kueditia video : imovie
Taa ninayo tumia : Ring light
Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs
Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: [email protected]
Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe.
Wenu,
Gloria